Kwa mujibu wa kifungu namba 47 cha sheria ya mtoto, amri ya uangalizi maalumu wa mtoto unaweza koma endapo • Mtoto akitimiza umri wa miaka kumi na nane • Mtoto akifariki kabla ya kutimiza umri wa miaka 18 • Mtoto akiajiriwa.