Je mtoto ana haki ya huduma ya afya? Kwa mujibu wa kifungu namba 8 (1) (d) cha sheria ya mtoto, mtoto anayo haki ya kupata haki ya huduma ya afya. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi