Sheria imebainisha na kutoa nguvu kwa mamlaka zifuatazo kuwa na uwezo wa kufungisha ndoa: a) Msajili mkuu au msajili msaidizi katika ofisi za wilaya/ Manispaa b) Viongozi wa dini katika makanisa na Misikiti c) Viongozi wa mila katika kabila husika