Je mtoto ana haki ya kulelewa na wazazi wake? Kwa mujibu wa kifungu namba 7 (1) na 7 (2) ya Sheria ya Mtoto, Mtoto anayo haki ya kulelewa na wazazi wake. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi