Je, umiliki ardhi kimila bila cheti cha hakimiliki (hatimiliki) ya kimila una nguvu? Ndiyo. Sheria za kimila na desturi za eneo husika zinaupa hadhi sawa na ule umiliki wa kutumia hati ya kupewa Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi