i. itathibitika kwamba mtuhumiwa amewahikutumikia kifungo kinachozidi miaka mitatu. ii. itathibitika kwamba mtuhumiwa amewahi kupewadhamana lakini akakiuka masharti ya dhamana hiyo. iii. mahakama itaona kwamba ni vema mtuhumiwaasipewe dhamana kwa sababu.