Je, dhamana ya polisi inaweza kufutwa? Na ni katika mazingira yapi? i. Mtuhumiwa haonekani, yaani mtoro au; ii. Ameshindwa au anaelekea kushindwa kuzingatiamasharti ya dhamana. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi