Je, mtuhumiwa akiomba dhamana polisi, anatakiwa kutoa pesa au mali yoyote? Hapana, dhamana inayotolewa na jeshi la polisi haihusiani na kuweka dhamana mali au pesa zake. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi