Je, mahojiano baina ya polisi na mtuhumiwa yanatakiwa yanakiliwe vipi? Mahojiano ambayo yatafanyika kwenye kituo cha polisi kati ya mtuhumiwa na afisa polisi, lazima yawekwe kwenye maandishi. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi