Mtuhumiwa anatakiwa kuhojiwa kwa muda gani? Mtuhumiwa anatakiwa kuhojiwa akiwa kituo cha polisi kwa muda usiozidi masaa manne kuanzia alipotiwa nguvuni. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi