Je, mtuhumiwa anatakiwa kuwekwa katika mazingira ya kuteswa iwapo atataka kutoroka? Wakati wa kumkamata mtuhumiwa, hatakiwi kuteswaau kuwekwa kwenye mazingira au hali ngumu zaidi yakumzuia asitoroke. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi