Je, ni nani anaweza kumkamata mtuhumiwa bila hati ya mashtaka? Mtu yeyote anaweza kumkamata mtuhumiwa bila kuwa na hati ya ukamataji baada ya mtuhumiwa kuonekana ametenda kosa la jinai. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi