Ni chombo gani chenye mamlaka ya kumtia mtu hatiani/kumwachia hurukwa kosa la jinai? Mahakama ndiyo yenye mamlaka ya kikatiba katika utawala na utoaji wa haki nchini. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi