• Nakala ya muhtasari wa kumbukumbu wa kikao cha ukoo. • Nakala ya wosia, iwapo marehemu aliacha wosia. • Majina ya warithi halali wa mali za marehemu • Cheti cha kifo • Cheti cha ndoa, iwapo marehemu aliacha mke/mume • Vyeti vya kuzaliwa vya watoto • Taarifa muhimu za marehemu: majina, tarehe ya kufariki, jina la mwombaji, orodha ya mali alizoacha marehemu • Nakala au taarifa zozote zitakazo hitajika mahakamani