-Wosia humpa muusia fursa ya kufanya mgao wa mali yake kwa kadri anavyotaka kabla ya kufariki. -Muusia anapata fursa ya kuamua ni nani msimamizi wa mirathi yake. -Wosia huepusha ugomvi wa wana familia. -Wosia ni chombo cha kuhakikisha kwamba urithi unakwenda kwa watu ambao marehemu aliwaridhia.