Wosia wa mdomo ni lazima uzingatie yafuatayo;
• Wosia ushuhudiwe na mashahidi wanne, wawili wawe wa ukoo na wawili wawe watu baki.
• Muusia awe na akili timamu.
• Kama mashahidi watakufa kabla ya muusia basi wosia huo hautakubalika.