-Wajane au mjane hurithi kama marehemu ameacha watoto -Wajane au mjane hurithi robo kama marehemu hakuacha watoto -Wazazi hupewa salio baada ya kuondoa fungu la mjane au wajane -Mali inayobaki hugawanywa katika mafungu matatu. Watoto wa kiume hupata mafungu mawili na watoto wa kike hupata fungu moja -Mgane hupewa robo ya mali ya marehemu mke wake kama kuna watoto au nusu kama hakuna watoto.