Ikiwa marehemu amefariki na kuacha wosia, mali zake zitagawanywa kwa kutumia sheria ipi? Ikiwa marehemu ameacha wosia, mali zake zitagawanywa kwa mujibu wa wosia ulioachwa. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi