Mgawanyo wa mali kwa sheria ya serikali huwa kama ifuatavyo; -Kama marehemu ameacha mjane na watoto, mjane atapata ya mali zote za marehemu na watoto watapata ya mali zote za marehemu. -Kama marehemu hakuacha watoto, mjane atapata nusu ya mali zote za marehemu na nusu nyingine hugawanywa sawasawa kati ya wazazi, kaka na dada za marehemu.