Hadhi na Imani ya marehemu wakati wa kifo chake ndiyo inayoamua Sheria gani itumike katika kushughulikia mirathi yake. Kwa ujumla, mojawapo ya, Sheria zifuatazo hutumika; - Sheria ya serikali - Sheria ya Kimila - Sheria ya dini ya kiislamu.kuhusu mirathi