Je mwanamke anayo haki ya kuingia makubaliana ya kutengana na mume wake? Kwa mujibu wa kifungu namba 67 cha sheria ya ndoa, mwanamke anayo haki ya kuingia makubaliano na kutengana na mumewe. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi