Je mlemavu ana haki ya kushiriki katika michezo? Kwa mujibu wa kifungu namba 52 cha sheria ya watu wenye ulemavu, mlemavu anayo haki ya kushiriki katika michezo. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi