Je walemavu wana haki ya miundombinu wezeshi ya barabara? Kwa mujibu wa kifungu namba 48 (1) cha sheria ya watu wenye ulemavu, mlemavu anayo haki ya miundombinu wezeshi ya barabara. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi