Je mlemavu ana haki ya kupata huduma ya afya? Kwa mujibu wa kifungu namba 26(1) cha sheria ya watu wenye ulemavu, mlemavu anayo haki ya huduma ya afya. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi