Je amri ya mahakama ya kuruhusu mtoto kuasiliwa inapaswa kusajiliwa? Kwa mujibu wa kifungu namba 70 (1) cha sheria ya mtoto, amri ya Mahakama ya kuruhusu mtoto kuasiliwa inapaswa kusajiliwa Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi