Makadirio na malipo ya kodi ya ardhi yanafanyika wapi? Makadirio hufanywa kwenye ofisi za ardhi zinazotambulika za Manispaa na Halmashauri za Miji na Wilaya. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi