a)Mgawanyo wa mali za ndoa /familia b) Matunzo ya mke c)Hifadhi na matunzo ya watoto d)Kizuizi cha kutobugudhiwa e)Kuoa/Kuolewa tena f) Fidia ya uzinzi g)Gharama za kuendesha Shauri la Talaka